Asante歌词由Novoh.演唱,出自专辑《Asante》,下面是《Asante》完整版歌词!
Asante歌词完整版
Holla!!
Mtalibaniii...
Eeh eh
Mmh
Mi na ye
Tunaishi kama siafu
Mi na yeye eh
Tunafatana eeh eh
Baridi na barafu ng'aring'ari
Tunapendezana eeh!!
Ndio mimi huyu huyu
Sijarogwa mwenzenu
Msihisi naharibikiwa
(nipo sawa)
Sina Pesa nnamagumu
Sawa sio shida zenu
Nina Ishi nahangaikiwa
(Kwake chawa)
Ooh hoo hooo ooh oh ooh
(Ooh ooh oh)
Oh hoo hoo ooh oh
Kama akifeli Figo ntampa moyo
Ooh hoo hooo ooh oh ooh
(Ooh ooh oh)
Oh hoo hoo ooh oh
Sitompa kipigo ntampa onyo.
Na nnamshukuru Mungu huu hu uh....
ASANTE
Mh kwa kunipa huyu yu yu..
ASANTE
Wakisasa wakizungu hu huu uh
ASANTE
Masikini hajanipanga Mafungu ngu ngu ngu nguuh
Iye iye ee eh
Ona na na nah
Instrumental
Mmh
Nikisema nakupenda haitoshi
Kuwa nawe haichoshi haya ndio mapenzi hayo ndio mapenzi
Wanasemaga utaniacha eti unanizuga
kukupata mambo yangu yananyooka
Mi ni wakoo karibu waridi...