笨鸟先飞
我们一直在努力
2025-01-08 08:13 | 星期三

Satisfaction (Sped Up)歌词-Umoja Sounds&Fredrick Mulla&Mbithi

Satisfaction (Sped Up)歌词由Umoja Sounds&Fredrick Mulla&Mbithi演唱,出自专辑《Umoja Sounds Presents Flava (Sped Up)》,下面是《Satisfaction (Sped Up)》完整版歌词!

Satisfaction (Sped Up)歌词

Satisfaction (Sped Up)歌词完整版

Im trynna redefine me and redesign my senses

Wazamani Fredy die please niache nisepe

How can I live hivi itabidi nipungzue mapepe

Balance ma sanity nisije okota ma madebe

Kuridhika ni adui kama haujui

Na tamaa inaweza ruing all your energy and fluid

Ndo sababu uko chini na haukui

Uko mbaya na hautambui

Im trying to let me know

Najiambia daily nipunguze njaa

ntawezaje ku survive

Kila siku ni suprise do I really need this or want it for the hype

Nitumie muda kufix this au niende na vibe

Najaribu saka shade by the sun side

Ilinione upande fresh for my devine

Kabla ya futi sita ku decline

Labda utakua happy and satisfied

Mbithi

Always wanting what we don't have

Na tukipata we can't get enough

Satisfaction never guaranteed

Natafta balance for my sanity

ahhh

Mulla

Unajiskiaje ukiona mwenzako ame make it

Umeshaso kila kona na haieleweki

Huwa unasimama na kushukuru au unajaza beki

Una ufungua moyo au utafunga geti?

Fungua akili mwili and soul

Usijaze chuki just love

Moyo mashine jiongeze ondoa chuki kwako

Na hii ni kwa ajili yako na ko

Achana na hizi story za block

Mbele ni wewe na God

Nyuma utageuka chumvi elekeza kichwa above

Na hii ni kwa ajili yako na koo

Najaribu saka shade by the sun side

Ilinione upande fresh for my devine

Kabla ya futi sita ku decline

Hope utakua happy and satisfied

Mbithi

Always wanting what we don't have

Na tukipata we can't get enough

Satisfaction never guaranteed

Natafta balance for my sanity

ahhh

未经允许不得转载 » 本文链接:http://www.benxiaoben.com/ef8e4VVA9BgBQVAQDCg.html

相关推荐