Zuwena歌词由Diamond Platnumz演唱,出自专辑《Zuwena》,下面是《Zuwena》完整版歌词!
Zuwena歌词完整版
Zuwena - Diamond Platnumz
Lyrics by:Diamond Platnumz
Composed by:Diamond Platnumz
Ayolizer
Mhhh habari gani kaka naamini unanisikia
Mimi mzima wa afya mama mungu anasaidia
Toka ulipotuacha mahututi anazidiwa
Bibi presha presha nae akatangulia
Bado twakuombea ulale salama pema
Japo moyoni nina dukuduku
Natamani kusema nisemeee
Zile mali husia ulizotuhusia tuligawa salama
Zuwena zote tukampatia tusiwe ndugu lawama
Ila zuwena kaka amebadilika sana
Yaani shem lake bi zuuh wa leo sio yule wa jana
Natamani ungemuona zuwena
Japo ungemuona zuwena
Kidogo tu ungemuona zuwena
Ungemuona zuwena
Ooooh ungemuona zuwena
Aaaah zuwena zuwena
Ooooh ungemuona zuwena zuwena
Zuwena
Mhhh zuwena sasa kawa chotara
Sio tena cheusi mangala
Ngozi kaichubua awe muzungu
Anavuta na sigara
Mara boko mwananyamala
Anachezesha tu miamala
Kutwa anaisugua kipepe rungu tena peku bila ndala
Aaah zuwena siku hizi anabandika kope zuwena
Zuwena mipasuo kama yote zuwena
Ooh zuwena lipa shika tuondoke zuwena
Aah zuwena wanamuita cha wote oh oh
Juzi kabebwa na majirani hata hajitambui zuwena
Yaani kalewa tafarani kautwika mbwi zuwena
Zuwena sio tena wa ibada na dini
Sadaka chenji asaidie
Siku hizi kageuka pedeshee wa mjini
Kutunza bendi wamsifie
Na lile gari lako urithi wa babu la kulishia ng'ombe
Siku hizi kama kwato kwenye vilabu linabebea pombe
Mama dede kitandani hawezi hata kutembea
Zuwena ameshindwa hata kuja kumuona panadol kumletea
Natamani ungemuona zuwena
Japo ungemuona zuwena
Kidogo tu ungemuona zuwena
Ungemuona zuwena
Ooooh ungemuona zuwena
Aaaah zuwena zuwena
Ooooh ungemuona zuwena zuwena
Zuwena
Siku hizi kataradadi
Anadanga anakula ndizi kwa maganda
Anajiita j-lo
Anadanga anakula ndizi kwa maganda
Eti mzungu mweusi
Anadanga anakula ndizi kwa maganda
Anatunyoosha baba
Anadanga anakula ndizi kwa maganda