Naenda Kujitafuta歌词由Nee Prince演唱,出自专辑《Naenda Kujitafuta》,下面是《Naenda Kujitafuta》完整版歌词!
Naenda Kujitafuta歌词完整版
Romantic boy
Dogo la taifa
Ah oh oh
Me mnyonge na nipo kwenye sifuri siyo moja
Dua mniombee sana
Pale kwenye nuru hapakosi giza
Napokwenda sipajui sina ndugu wala rafiki
Hasa nitafanya nin na nyumbani kumezidi dhiki
Kesho yangu siijui nikapambane labda yataiki
Ridhiki anatoa manaani
Haijarish nitapita mangapi
Nahisi malaika wangu wana migogoro pia
Wa kulia anasema usiende wa kushoto anasema nenda dear
Kikubwa usia wangu msichoke kuniombea aah
Nikienda mambo yakitick nisisahau kuna baba na mama
Naenda naenda kutafuta
Naenda naenda kujitafuta
Naenda naenda kutafuta
Naenda naenda kujitafuta
Mama hallo baba hallo
Hii ni dunia ina mengi sana
Nikimpigia promota Anazima data
mziki ni karata kipaji si kupata
Hatua sisimizi et mganga ni mzizi
Nashangaa simalizi
Asante mola ila siwazi
Najua kipaji ndiyo mtaji wangu
Kukata tamaa zambi
Kama ipo ipo tu hakuna wa kuziba ridhiki yangu popote kambi
Nahisi malaika wangu wana migogoro pia
Wa kulia anasema usiende wa kushoto anasema nenda dear
Kikubwa usia wangu msichoke kuniombea aah
Nikienda mambo yakitick nisisahau kuna baba na mama
Naenda naenda kutafuta
Naenda naenda kujitafuta
Naenda naenda kutafuta
Naenda naenda kujitafuta
Mtoto wa mama nitafanyaje mimi
Thedukedson nitafanyaje mimi
Ohh sielewi