Zeze歌词由Brayban演唱,出自专辑《Zeze》,下面是《Zeze》完整版歌词!
Zeze歌词完整版
Oh nana Don
(Sizo the boy)
Verse 1
Ni kama chemchem kando kando ya mto, hata mimi namshangaa
Kiukweli nimepata mtu, msidhani rangi imenihadaa
Bustani ya Eden, kusanyaneni semeni
Sio siri nimepata mwenzangu atayenifaa
Na sio kwamba tuna furaha sana, mimi na babe wangu
Sema tu tunaridhikaaa, tunaridhika
Kwenye dunia yangu anaanza mama, anafata babe wangu
Sina kikubwa cha kumlipa, ni vile tu nampigia…
Chorus
Zeze nampigia, zeze nampigia
Zeze nampigia, mpaka alale akinuna
Zeze nampigia, zeze nampigia
Zeze nampigia, mpaka alale usingizi
Verse 2
Na sio kwamba tuna mali hapana
Na sio kwamba tuna money hapana
Wapambe tumewaacha njia panda, mana hatujayafanya siri mapenzi yetu
Tukikosea wepesi kuungama
Utaratibu wetu zama na zama
Wambea tumewaacha midomo wazi mana mapenzi yetu sio ya siri
Na sio kwamba tuna furaha sana, mimi na babe wangu
Sema tu tunaridhikaaa, tunaridhika
Kwenye dunia yangu anaanza mama, anafata babe wangu
Sina kikubwa cha kumlipa, ni vile tu nampigia…
Chorus
Zeze (eh)nampigia(eh), zeze (eh)nampigia zeze, (nampigia ah)
Zeze nampigia, mpaka alale akinuna(akinuuna)
Zeze nampigia(nampigia zeze, zeze nampigia
Zeze nampigia, mpaka alale usingizi
Autro
Yani akinuna
Yani akinuuna
Nampigia zeze
Nampigia
Aaah