MOROBUZZ Season 3 Episode 2歌词由Fredrick Mulla演唱,出自专辑《MOROBUZZ Season 3 Episode 2》,下面是《MOROBUZZ Season 3 Episode 2》完整版歌词!
MOROBUZZ Season 3 Episode 2歌词完整版
Verse 1
Ukituona we sema, “nice”
Tulipotoka was never nice
Sikuhizi thamani inapanda siku zikiganda
Si bado twa overprice
I see some changes nikijicheki
I see makenge wanavyofeki
Naona wanabana vipaji kibao
Chakarika mwanangu kudadadeki
Maisha yatasonga upende usipende
Chukua spana ukaminye kende
Beba na nati ukakaze pia
Chagua utupende au utuchukie
Nakosea sana ndomana nasali
Pia najifunza
Nisipokuelewa lazima maswali niulize
Nikishajua ili nikaumize
Chorus:
Sema na hii x7
Sena na hii a
Sema na hii e
Sema na hii i
Sema na hii o o o o
Sema na hii x7
Sena na hii a
Sema na hii e
Sema na hii i
Sema na hii o o o o
Verse 2
Siku hizi nyumbani sionekani sana
Niko abroad napambana
Ili kujenga kiwanda akili na uwezo unapanda ni ngumu kusanda
I’m all over the place if you didn’t know
Mi a bad man ka track ya D Knob
Nikiziongelea blessing kutoka kwa Baba ni nyingi
Milango iko wazi we winning
Of all the place and I choose to be here
Building this up mpaka nifikie nia
Najua kuna watu wanangoja nifeli
Kiukweli sifeli the King is here
Nakosea sana ndomana nasali
Pia najifunza
Nisipokuelewa lazima maswali niulize
Nikishajua ili nikaumize
Chorus:
Sema na hii x7
Sena na hii a
Sema na hii e
Sema na hii i
Sema na hii o o o o
Sema na hii x7
Sena na hii a
Sema na hii e
Sema na hii i
Sema na hii o o o o