Mapenzi Run Dunia歌词由Alikiba演唱,出自专辑《Mapenzi Run Dunia》,下面是《Mapenzi Run Dunia》完整版歌词!
Mapenzi Run Dunia歌词完整版
Mapenzi Run Dunia - Alikiba
Lyrics by:Ally Salehe Kiba
Composed by:Ally Salehe Kiba
Yeaah ooooh ooh hmmm
Yeah yeah yeah yeah
Yeaaah oooh
Sikatai yule muonyesha wivu ndiye mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenzi
Lakini pia uvumilivu na vitendo vya karaha vilimuumiza
Mwenzio mimi ni mtulivu na kuiba mali ya mtu sijafunzwa
Ona dhambi lawama ulonipa mimi leo inaniuma eh
Fikira zako ziko vibaya kwa kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda
Ni kweli nilimpenda lakini ni kama rafiki wa kima
Haya ulofanya leo ikifika kesho utajibu nini kiama
Kwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona
Ukadhani anakusaliti kutoka kwako na kuwa mimi naye
Mimi na yeye
Kutokana na wako wivu ukadariki kumuacha ajiue
Kwa nini why unatema big G kwa karanga za kuonjeshwa
Najua mwanamke akipenda huwa kapenda kweli
Mapenzi yana run dunia mapenzi yana run dunia

Mapenzi yana run duniaaaa

Feel free to love
Feel free to love
Wawawawawa
Hmmmm
Wajua kuna waliobadilisha dini na yote sababu ya kupenda
Na kuna walokimbia hii dunia sababu hiyo hiyo kupenda
Yule alikupenda sana ninajua na mambo mengi umefanya ilala
Bestee wangu nilimpenda umefanya mpaka sasa kajiua
Fikira zako ziko vibaya kwa kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda
Ni kweli nilimpenda lakini ni kama rafiki wa kima
Haya ulofanya leo ikifika kesho utajibu nini kiama
Kwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona
Ukadhani anakusaliti kutoka kwako na kuwa mimi naye
Mimi na yeye
Kutokana na wako wivu ukadariki kumuacha ajiue
Kwa nini why unatema big G kwa karanga za kuonjeshwa
Najua mwanamke akipebda huwa kapenda kweli
Mapenzi yana run dunia mapenzi yana run dunia
Mapenzi yana run dunia mapenzi yana run dunia
Mapenzi yana run dunia mapenzi yana run dunia
Mapenzi yana run duniaaaa
Mapenzi yana run dunia mapenzi yana run dunia
Mapenzi yana run dunia mapenzi yana run dunia
Mapenzi yana run dunia mapenzi yana run dunia
Mapenzi yana run duniaaaa
Feel free to love
Feel free to love
Mapenzi yana run dunia
Oooh
Mapenzi yana run dunia dunia
Duni oliworila
Mapenzi yana run dunia
Oooh eyey dunia
Feel free to love ey ey
Feel free to love ey ey
Feel free to love
Feel free to love
Feel free to love
Feel free to love
Feel free to love
Feel free to love
Feel free to love
Feel free to love
Feel free to love
Feel free to love
Feel free to love
Feel free to love
Feel free to love
Feel free to love
Feel free to love
Feel free to love
Eyeyeyeyeyey eyeyeyeyeyey
Eyeyeyeyeyey