Ringa歌词由Hamis Bss演唱,出自专辑《Ringa》,下面是《Ringa》完整版歌词!
Ringa歌词完整版
"introduction"
"Navimba uunh iyeee, Hamisi Tena".
"Verse 1"
Baby tinga kijora baibui tutoke wote.
Wana bwabwaja hawajuhi kitu chochote.
Nafurahi Navimba (Navimba)
Nikipita Mtaani Naringa eenh.
Wana niita babu jinga (Babu jinga)
Na Nikipita Mtaani naringa wewe.
"Bridge"
Wanaume kwenye penzi Hua hawaridhiki
Nafurahi baby kwako nimepata kiti.
Wallah Tena na Mapenzi Hayajifichi Mimi na wewe.
Penzi likoleze
(aaaanh aaanh).
Wanga tuwasute
(aaanh aaanh).
Macho yawatoke
(aaanh aaanh).
Baby mimi na wewe.
"Corus"
Ringa
(Basi ringa kidogo).
Ringa
(Mama Ongeza mikogo).
Ringa
(Mpenzi Usinipe Tabu Mwenzako Nitaumia Moyo).
Ringa
(Basi ringa kidogo).
Ringa
(Kwa mbwe mbwe Ongeza mikogo).
Ringa
(Mpenzi Usinipe Presha Mwenzako Nitaumia Moyo).
"Verse 2"
Basi unipe penzi la kisurutani yaani nizame chini mpaka niguse mwambani.
Penzi linikonge moyoni umefundwa na kungwi ufundi Bara na Pwani.
Nina shida eeenh na shida na Mapenzi yako Njoo nikuambie.
Limeniteka huba lako fusha vikarafuu na chumbani kunukie
"Bridge"
Wanaume kwenye penzi Hua hawaridhiki
Nafurahi baby kwako nimepata kiti.
Wallah Tena na Mapenzi Hayajifichi Mimi na wewe.
Penzi likoleze
(aaaanh aaanh).
Wanga tuwasute
(aaanh aaanh).
Macho yawatoke
(aaanh aaanh).
Baby mimi na wewe.
"Corus"
Ringa
(Basi ringa kidogo).
Ringa
(Mama Ongeza mikogo).
Ringa
(Mpenzi Usinipe Tabu Mwenzako Nitaumia Moyo).
Ringa
(Basi ringa kidogo).
Ringa
(Kwa mbwe mbwe Ongeza mikogo).
Ringa
(Mpenzi Usinipe Presha Mwenzako Nitaumia Moyo).
"Out"
Aanh Mwenzako Nitaumia Moyo