笨鸟先飞
我们一直在努力
2025-01-22 08:55 | 星期三

Bad Choice歌词-Dicazzi

Bad Choice歌词由Dicazzi演唱,出自专辑《Bad Choice》,下面是《Bad Choice》完整版歌词!

Bad Choice歌词

Bad Choice歌词完整版

Kua nami bad choice

tufe tuzikwe wote bad choice

Kabidhi moyo wako kwangu bad choice

Eti ntabadilika ndo unachohisi

Unahitaji muda unahitaji upendo

Unahitaji ushuhuda lugha kwa vitendo

Unavonizuga kama skukosei kuku handle

Nakupenda sana nilichokosa ni malengo

Tunaishi ka mke na mume na hakuna ndoa

Majirani wanakuchukulia ka dada poa

Kila mwezi kesi ya ku cheat ndo napoboa

Wazazi wako wanahisi mi ndo nuh na safina nije kukukoa

Haulalii unachowaza ni kua na mimi na mimi nawaza mbali

Haujali what you believe we ni star na kwenye movie starring hauwawi

Kua nami bad choice

Tufe tuzikwe wote bad choice

Kabidhi moyo wako kwangu bad choice

Eti ntabadilika ndo unachohisi

Ila zimwi likujualo alikuli likakwisha

Na mashoga zako nshakugombanisha

Ushanifumania nikadai ntajirekebisha

Ukalia machozi ukasamee yakapita

Imani yako sio ya dunia hii

Daily nikirud mitungi mitusi nko bwii

Nlishaapaga kamwe hivi vitu havijirudii

Najiuliza ni lini I鈥檒l set your heart free

Unahitaji muda unahitaji upendo

Unahitaji ushuhuda lugha kwa vitendo

Unavonizuga kama skukosei kuku handle

Nakupenda sana nilichokosa ni malengo

Haulalii Haujalii

Haulalii Haujalii

What do you believe we ni star na kwenye movie starring hauwai

未经允许不得转载 » 本文链接:http://www.benxiaoben.com/ef9abVVA9AA9XUgUH.html

相关推荐

  • MIMI歌词-Dicazzi

    MIMI歌词-Dicazzi

    MIMI歌词由Dicazzi演唱,出自专辑《MIMI》,下面是《MIMI》完整版歌词! MIMI歌词完整版 Mwisho wa siku its Me VS Me YaahWewe VS wee utakufa mwenyewe its Cl...

  • Terminal Patria歌词-Krisna Patria

    Terminal Patria歌词-Krisna Patria

    Terminal Patria歌词由Krisna Patria演唱,出自专辑《Terminal Patria》,下面是《Terminal Patria》完整版歌词! Terminal Patria歌词完整版 Tansah kelingan t...

  • 好的 晚安 (cover: 邓见超) (Live)歌词-好美aka王洒路

    好的 晚安 (cover: 邓见超) (Live)歌词-好美aka王洒路

    好的 晚安 (cover: 邓见超) (Live)歌词由好美aka王洒路演唱,出自专辑《无人区》,下面是《好的 晚安 (cover: 邓见超) (Live)》完整版歌词! 好的 晚安 (cover: ...

  • 今天也想见到你 (cover: 焦迈奇)歌词-Helios_A

    今天也想见到你 (cover: 焦迈奇)歌词-Helios_A

    今天也想见到你 (cover: 焦迈奇)歌词由Helios_A演唱,出自专辑《翻唱》,下面是《今天也想见到你 (cover: 焦迈奇)》完整版歌词! 今天也想见到你 (cover: 焦迈奇...

  • Maximum Break歌词-The Tumbledryer Babies

    Maximum Break歌词-The Tumbledryer Babies

    Maximum Break歌词由The Tumbledryer Babies演唱,出自专辑《Dynamic Tension》,下面是《Maximum Break》完整版歌词! Maximum Break歌词完整版 147That's my b...