Ananipenda歌词由Platform&Marioo演唱,出自专辑《Above & Beyond》,下面是《Ananipenda》完整版歌词!
Ananipenda歌词完整版
CHORUS
Ananipenda
Nikinuna nuna ananibembeleza
Ananipenda
Moyo ushazama kwake ety ameniweza
VERSE
Wengi wanasema ni ushamba
kupenda Ama kupendwa
Ila Leo nataka niwaambie
Wala sioni kama ni ushamba
Kupenda usipopendwa
Ila aah leo acheni niwaambie
Akinuna siwezi kulala Moyo unaniuma
nakosa raha namuwaza yeye
Nikinuna hawezi kulala
Moyo unamuuma anakosa raha ananiwaza MIMI
Ameitawala akili namdhibiti anidhibiti eeeh alipo nipo nami nilipo yupo
Ooh ananipenda
CHORUS
Ananipenda
Nikinuna nuna ananibembeleza
Ananipenda
Moyo ushazama kwake ety ameniweza
VERSE
Nami samaki ye ndo maji
Nampatia nampatia
Mi mwenyewe siwezi kula
Yani chakula hakipiti
Hata nikikunywa maji
Ananipatia ananipatia
Aah kama sio mm
niwapi angepata faraja anajiuliza aah
Eeeh na kama sio yeye niwapi
Ningepata faraja mi najiuliza aah Eeh
Anapendaga aah kila mara anione Eeh
Alipo nipo nami nilipo yupo
Aaah nasema
CHORUS
Ananipenda
Nikinuna nuna ananibembeleza
Ananipenda
Moyo ushazama kwake ety ameniweza