RAHA歌词由Dree Suka演唱,出自专辑《RAHA》,下面是《RAHA》完整版歌词!
RAHA歌词完整版
Shepu lake zuri maji ya kunde Hana kiburi kutwa na Kesha kumuwaza yeye (yeyyee)
Mashost zake walisema niachane nae eti Mimi sio hadhi sio type yake (eeh eheheh)
Kiukweli mi na yeye tunapendana mi casa sucasa (sucasa sucasa)
Kama mapacha vile tumeshibana I don't care mlima pekupeku vile napanda bambucha chakacha kama Guu na Raba tumestoshana
Yani ( RAHA )
ananipa (RAHA )
Ananipa RAHA ( RAHA )
Ananipa RAHA (RAHA)
Na kama ni kamba mimi ndo lake fundo kanifunga kitanzi kama kipofu mm ndo yake fimbo ooh mi yake chai hainogi bila yeye sukari tena hodari amepitiliza tena mashuhuri penzi lake si la kibatari upepo ukizidi iwe dosari kikatanda kiza aah