笨鸟先飞
我们一直在努力
2025-01-11 00:25 | 星期六

Wanabaki歌词-Maulii

Wanabaki歌词由Maulii演唱,出自专辑《I Do For You EP》,下面是《Wanabaki》完整版歌词!

Wanabaki歌词

Wanabaki歌词完整版

Asubuhi kumekucha kwenda kutafuta

pilikapilika nyingi Kila siku naanguka

Sitochoka kumwomba huyu anae nipa

kwasababu kanileta kambii hii Africa

Japo Kuna mambo mengi yanayoniumiza kichwa

I never fall ata mnikate hizi kucha.

I don't care siwaamini wauza bucha maana

hao ndo mafala wauza wauza mapusha

I know fill god bless akizishusha nikizipata

nitafurahi na Wana wote wa ARUSHA

Nitafurahi na Wana wote wa Arushaaa

Chorus

Kwenye beat me nabaki tu nachekacheka

haha ninachekacheka

Hao ma haters street wanabwekabweka

haha wanabwekabweka

kwenye beat me nabaki tu nachekacheka

haha ninachekacheka

Hao ma haters street wanabwekabweka

haha wanabwekabweka

Masela wengi tupo mtaani tuna hustle

tunakula Makaya tunamwaga sana jasho

Hustle hustle tupo macho

tunaridhika na hichi kidogo tupatacho

Japo Sina utaratibu wa kusahau nilipotoka

Enzi nakula andazi chafu la kuokota

It's so bad japo kuna people wanafoka

Mbona huyu supernova anajikuta kaokoka

na jana tulimuona bar matusi anaropoka

Me nabaki tu nacheka

kwasababu najua njia niliotoka sijachoka

Maana kwenye maisha hakuna mkubwa na mdogo

vile kwenye hustle wote tunageuka mbogo

Mdogomdogo I gar do than better better

Na god akitupa mkono tutametata

Watajiletaleta saiyo me nipo

kwenye fukwe nina chekacheka.

Chorus

Kwenye beat me nabaki tu nachekacheka

haha ninachekacheka

Hao ma haters street wanabwekabweka

haha wanabwekabweka

kwenye beat me nabaki tu nachekacheka

haha ninachekacheka

Hao ma haters street wanabwekabweka

haha wanabwekabweka

Mauliizone kwenye flow taratibu

hakuna daktari yeyote wa kunitibu

Usinichikoze Sina majibu ya kikujibu

ila ukija kiwaki waki bro nitakujibu

Supanova

未经允许不得转载 » 本文链接:http://www.benxiaoben.com/efa39VVA9Bg1aWgADCQ.html

相关推荐