Maringo歌词由Mwasiti&Mimi Mars演唱,出自专辑《The Black Butterfly》,下面是《Maringo》完整版歌词!
Maringo歌词完整版
Uzuri sio sura dada ooh
wala uzuri sio shape yako
mwanamke mwanamke kaumbwa na haya
mwanamke kuwa na stara
mambo wajiamulia,shule hutaki sikia
Kutwa kwenye tekinolojia
Hutaki ushauri,tena wadai umekua
na mama alikufunda
binti maringo nenda polepole
Usijifanye wewe bingwa wa mapenzi
Dunia ni shule itakufundisha oooh
maringo binti maringo
tena ujituunze daima *2
Dunia haikupi nafasi mara mbili
(aah dada pole)
chunga dada usilambe shubiri
(aah dada pole)
walimwengu watakusifia kesho watakushusha
(aah dada pole)
Ooh dada dunia haikusubiri
chunga roho ooh roho
yako roho isiwe na tamaa
watakupa maporoso uanze madoido,
madoido yatakuumbua dada
Dunia ni pori miluzi mingi itakupoteza
Kwa sifa na story watakujaza ujae
Oooh ooh
na mama alikufunda
binti maringo nenda polepole
Usijifanye wewe bingwa wa mapenzi
dunia ni shule itakufundisha ooh