Sina Haja歌词由FEMI ONE&Sanaipei Tande演唱,出自专辑《Greatness (Explicit)》,下面是《Sina Haja》完整版歌词!
Sina Haja歌词完整版
Mbleina amedunga earphones kwa klabu
Beer ina shika juu ya sina tabu
Life na kula kwa sinia na adabu
nataka leo nilewe nikuambie i love you
Juu nikiwa sober nko na maringo na ego
Ndomana nyi hushindwa mbona me hushindanga single
Me humingle lakini roho yangu huwezi dingo
Im simple lakini kupenda mutu si simple
Diva kimwili but im too ganster kirohoo
Hii nairobi inafanyaga nifiche mafeelo
hawa maman wanaweza kufanya fanya
Wanauma wakipuliza vako kipanya panya
Verse 2
2
Confesssions niliwachia mafala
Ooos i mean confessions niliwachia mafather
Hii roho sifungui ata ukikuja na master
Hiyo shine hainishtui ata ukijipaka mafta
Ju ka ni doh niko nayo kwa wimgi
Labda uniroge na zile mandumba za mwingi
Na sina bei na ka ingekua bado hamfiki
Ukinikatia nakuweka kwa zone ya kirafiki
Diva kimwili but im too ganster kirohoo
Hii nairobi inafanyaga nifichange mafeelo
hawa maman wanaweza kufanya fanya
Wanauma wakipuliza vako kipanya pa