Nicheki歌词由Lugo master演唱,出自专辑《Nicheki》,下面是《Nicheki》完整版歌词!
Nicheki歌词完整版
Mh mh mh
Verse |
Toka kwangu huitaji
Najua nyuma umejaza choo
Kwenye mechi adi poo
Sema hutaki kumuacha brooh
Chorus
Akiondoka nichek mh mh mh
Akilala nitext mh mh mh
Kwako mi the best mh mh mh
Mi siwezi kupa stress mh mh
Akiondoka nichek
Akilala nitext
Kwako mi the best
Mi siwezi kupa stress
Kwanza naskia anakupigaga
Matusi anakutukanaga
Madharau anakuleteaga
Buger akileta akileta hamu haunaga
Chorus
Akiondoka nichek mh mh mh
Akilala nitext mh mh mh
Kwako mi the best mh mh mh
Mi siwezi kupa stress mh mh
Akiondoka nichek
Akilala nitext
Kwako mi the best mh mh mh
Mi siwezi kupa stress mh mh
Verse ||
Mtot wa uswazi na jali muda
Mapenzi yako ni wida
Wala huwazi kwa madiba
Usije ukamsikiliza dida
Nakupiga kwa kanga
Mahaba mengi kama tanga
We matawi ya juu kama langa
Ngoja nikomae kuzichanga
Chorus
Akiondoka nichek mh mh mh
Akilala nitext mh mh mh
Kwako mi the best mh mh mh
Mi siwezi kupa stress mh mh
Akiondoka nichek
Akilala nitext
Kwako mi the best mh mh mh
Mi siwezi kupa stress mh mh