Happy Birthday to Me歌词由Msomali演唱,出自专辑《Happy Birthday to Me》,下面是《Happy Birthday to Me》完整版歌词!
Happy Birthday to Me歌词完整版
J4d sound
Vitamin Music forever
Adasco mtu mbaaya
Leo siku ya furaha Ningekuwa na Mama
alionileta dunianii
Natamani siku ya furaha Leo
Ningekuwa na Mama alionileta dunianii
Mama popote ulipo leo ndio ile siku ulionileta Duniani
Najua hapa nilipo upo ,Unaniskia ila ndio mama sikuoni
Ungekuwepo mama cake ningekulisha
ungekuwepo mama Mbele ningekuita
Ungekuwepo mama cake ningekulisha
ungekuwepo mama Mbele ningekuita
Leo mama Happy birthday to me
Happy birthday to me leo mama
Happy birthday to me
Happy birthday to me Leo mama
Happy birthday to me
Happy birthday to me mi mwanao
Happy birthday to me
Happy birthday to me
Iii iiiii iiiii iiiii
Acha nikusifie sifa zako nikupe
Mama Yangu mie
Popote ulipo nakuombea dua zangu mie
Zikawe mwanga zikuangaze uko ulipo wewe
Unanisikia mama mimi nakupenda sana
Unanisikia mama mimi nakupenda sana
Ungekuwepo mama cake ningekulisha
ungekuwepo mama Mbele ningekuita
Ungekuwepo mama cake ningekulisha
ungekuwepo mama Mbele ningekuita
Leo mama Happy birthday to me
Happy birthday to me leo mama
Happy birthday to me
Happy birthday to me Leo mama
Happy birthday to me
Happy birthday to me mi mwanao
Happy birthday to me
Happy birthday to me