Sina Kitete歌词由Mwasiti&Baddest 47演唱,出自专辑《Sina Kitete》,下面是《Sina Kitete》完整版歌词!
Sina Kitete歌词完整版
Mbia Rafiki,Ambia Na Jirani
Penzi limenoga niko hoi taabani
Wasikie wanafki wakina fulani
Roho ziwaume isiwe siri iwekwe ndani
Nipe nipe tena ongeza raha nasikia
Uliposhika ushike mwenzako ndo nasikia raha usijeachia
Nife unizike ufe nikuzike mola akijalia
Maana nachopata kwako sijaona kwa mwengine
Hook
wanipa vitamu ongeza ikibidi
siishiwi hamu unachonipa nafaidi
wino na kalamu nishapata shahidi
kwa yako mapenziiiiii
Chorus
nimenogaje (sina kitete)
najisosomola (sina kitete)
nimeshibaje ( sina kitete)
koleza na gia ( sina kitete)
nimenogaje (sina kitete)
najisosomola (sina kitete)
nimeshibaje ( sina kitete)
koleza na gia ( sina kitete)
Ulisema unataka ndizi …mmh banana (chukua)
Macho matatu sio gharama (chukua)
Mi lakuchumpa la kumpa rama (chukua)
Cha kwanza unakishepu
(watambishie,okay….watambishie ,alright)
Usiwaachie magepu mama
(watambishie,okay…watambishie alright)
Move ur body tiktok (mwili mzima)
Ukinigusa goosebumps (mwili mzima)
Ukipindisha kifito (mwili mzima)
Slow down mpaka chini mama (mwili mzima)
Hook
wanipa vitamu ongeza ikibidi
siishiwi hamu unachonipa nafaidi
wino na kalamu nishapata shahidi
kwa yako mapenziiiiii
Chorus
nimenogaje (sina kitete)
najisosomola (sina kitete)
nimeshibaje ( sina kitete)
koleza na gia ( sina kitete)
nimenogaje (sina kitete)
najisosomola (sina kitete)
nimeshibaje ( sina kitete)
koleza na gia ( sina kitete)