Rafiki歌词由Fredrick Mulla&Umoja Sounds演唱,出自专辑《Master Manondo》,下面是《Rafiki》完整版歌词!
Rafiki歌词完整版
Chorus
Habari gani rafiki, nakusalimu
Sikuhizi hazipigwi story, sio kama zamani
Rafiki, nakusalimu
Sikuhizi hazipigwi story, sio (yeah) kama zamani
Yeah!
Verse 1
Mambo madogo mnaweza kusolve na kuweka kando
Kuna vitu mnaweza kuhandle
Acheni kukuza mambo
Mnawapa faida maadui wa kando
Ni better kuwa humble
So sit down huh!
So you sick now?
Unapewa salaam unauchuna
Sasa what now? Huh! What now?!
Au si so wanao!
Keepin’ it real keepin’ it real
Tuambie what you feel ili tujue what's the deal
Tu reveal
Kama kuna kitu cha kurekebisha turebuild
Ili mambo yawe sawa
Hakuna sababu hii kushindwa kusolve
Ukikuza ujinga utakubreak you whole
Hakuna haja sisi kuvunga, “we’ good!”
Mahusiano yetu kuya-‘breaking it off’!
Chorus
Habari gani rafiki, nakusalimu
Sikuhizi hazipigwi story, sio kama zamani
Rafiki, nakusalimu
Sikuhizi hazipigwi story, sio kama zamani
Mastory mob
Mastory mob
Mastory mob
Mastory mob
Mastory
Verse 2
Aah!
Sikuhizi simu zenu ninakata
Ndio maana
Hamnikuti maskani kwenye bata
Kwa maana mmmh!
Urafiki huu ni wa mashaka
Ya nini kuwajenga kama hamnijengi?
Mtawezaje nipenda kama hamjipendi?
Let's be real
Huo ndio msingi kwanza, jenga wako
Mi niko busy nikibuild mine
Keepin’ it real keepin’ it real
Nachokifeel hakiwahusu kukireveal
Am’a keep it on myself nikifanya mambo yangu
Kwani vipi?
Kwani vipi
Kuna kila sababu hii kushindwa kusolve
Ukikuza ujinga utaku-‘break you off’!
Hakuna haja ya si kuvunga, “ we good!”
Wakati we’re not, wakati we’re not aaah!
Chorus
Habari gani rafiki, nakusalimu
Sikuhizi hazipigwi story, sio kama zamani
Rafiki, nakusalimu
Sikuhizi hazipigwi story, sio kama zamani
Mastory mob
Mastory mob
Mastory mob
Mastory mob
Mastory mob
Mastory mob
Mastory mob
Mastory mob