Fertilizer歌词由Christina Shusho演唱,出自专辑《Hararat》,下面是《Fertilizer》完整版歌词!
Fertilizer歌词完整版
Maneno yao maneno yao maneno yao maneno yao
Chuki zao chuki zao chuki zao chuki zao
Fertilizer fertilizer hizo ni fertilizer ni fertilizer
Maligafi maligafi kwangu ni maligafi ni maligafi

Nanyi mlinikusudia mabayaaaa
Mungu alikusudia kuwa memaaa
Nanyi mlinikusudia mabayaaa
Mungu alikusudia kuwa memaaa
What are devil mean for evil
God standed for my good
What are devil mean for evil
God standed for my good
Fertilizer fertilizer hizo ni fertilizer ni fertilizer
Maligafi maligafi kwangu ni maligafi ni maligafi
Fertilizer fertilizer hizo ni fertilizer ni fertilizer
Maligafi maligafi kwangu ni maligafi ni maligafi
Maneno yao maneno yao maneno yao maneno yao
Chuki zao chuki zao chuki zao chuki zao
Kwa kadri farao alivyozidi kuchukia Israeli nakuwatesa
Ndivyo walivyozidi kuongezeka na kuenea zaidi sana
Positive energy ……. Positive energy let skip
Positive energy eee positive energy wawawa

Dodo dodo dododo dododo eee
Dodo dodo (iiiiiiiiiiiiiiiiii)
Fertilizer fertilizer hizo ni fertilizer ni fertilizer
Maligafi maligafi kwangu ni maligafi ni maligafi
Fertilizer fertilizer hizo ni fertilizer ni fertilizer
Maligafi maligafi kwangu ni maligafi ni maligafi
Maneno yao maneno yao maneno yao maneno yao
Chuki zao chuki zao chuki zao chuki zao
Maneno yao maneno yao maneno yao maneno yao
Chuki zao chuki zao chuki zao chuki zao ni fertilizer.