Sitaki Ndoa歌词由Micky Singer演唱,出自专辑《Sitaki Ndoa》,下面是《Sitaki Ndoa》完整版歌词!
Sitaki Ndoa歌词完整版
Harusi yangu itakuwa simple mimi mwenyewe sitokuwepo
Naita ma ex wafanyaje fujo
Nalewa mbwii mpka mikojo
Mi ndo yule yule nikilewa tu
Mama amina x2
(Chorus)
Sitaki ndoa
Sitaki ndoa nataka soda
Sitaki ndoa nataka miguu ya kuku x2
Mi supu supu
Miguu yakuku
Sitaki mam ma mam ama mapenzi
Sitaki mamamamama ma
(Verse2)
Moyo wangu em acha tamaa
Usinipe ujasajiri nikawa mandonga
Nikaingia kwenye ndoa kisha nikabondwa
Umesahau wewe si ndo ulifanya nilewe
Umesahau wewe eeh ehhh
Mi ndo yule yule nikilewa tu mama amina
Sitaki ndoa
Sitaki ndoa nataka soda
Sitaki ndoa nataka miguu ya kuku x2
Misupu supu miguu ya kuku
Sitaki mam ma ma mapenzi
Sitaki mamamamamama ma