Cheza歌词由Corinne Kahi&Shikkiey演唱,出自专辑《Cheza》,下面是《Cheza》完整版歌词!
Cheza歌词完整版
Lazima niroge swahili Ndio mjue MI sijakuja kucheza
Nina mistari, we ita askari juu mi nimekuja kutesa
Si hizi Ndio bars mnataka, eat, hii ni supper
Lazima niskize fans, chenye wataka, nitawapa
Whoo, I switch up the flow, mi ni barbie
Nikiroga kizungu ni kali
Lakini wacheza na mimi, wacheza na mimi siwezi kubali
Reka morome ruluhya
Suvira umbulira
Niiva Mbulira dave, yago nigogo
Huwezi nichinja kwa flow
Huwezi niflossia na doh
Huwezi nitakia more
So me nakujia your doh
Na me I'm coming for your spot
Me I'm coming for your plot
Nifanye mashow show show me how I'm not reaching the top
Na me I'm coming for your spot
Me I'm coming for your plot
Nifanye mashow show show me how I'm not reaching the top
Wataka kucheza, wataka kucheza nami
Wataka kucheza, wataka kucheza nami
Kuja tucheze, lakini I'm coming to win
Kuja tucheze, lakini I'm coming to win
Busy applying some pressure
Red light na level ni danger
Feelings ni phase
Stick to your lane
Come talk to me ka unaweza
Huwezi nichinja kwa flow
Huwezi niflossia na doh
Huwezi nitakia more
So me nakujia your doh
Na me I'm coming for your spot
Me I'm coming for your plot
Nifanye mashow show show me how I'm not reaching the top
Na me I'm coming for your spot
Me I'm coming for your plot
Nifanye mashow show show me how I'm not reaching the top
Wataka kucheza, wataka kucheza nami
Wataka kucheza, wataka kucheza nami
Kuja tucheze, lakini I'm coming to win
Kuja tucheze, lakini I'm coming to win