Kuzina Nawe歌词由FEMI ONE&Feffe Busi演唱,出自专辑《Greatness (Explicit)》,下面是《Kuzina Nawe》完整版歌词!
Kuzina Nawe歌词完整版
I like a chali that loves to party
Chali anafanyanga nageuka naughty
Chali anapendanga kurusha noti
Pale kwa benki ni madoller kama mita 40
Wapi
muhudumu mwambie aongezee glass
Pedi wangu asha nishi kisha na mashash
Hakuna keki
lakini bado bonge la bash
Pamba moja safi nimepulizia marash
Aaaah ksh ksh ksh
Na niku moto sana maji baridi itaweza
Wamekunja sura walimeza bila chaser
Rada safi si mpaka Wamechafua Meza
Usiwai Bishana na mutu ako na pesa
Kwetu 17b leo niko kampala
Me na ...tunakulanga hepi mbaya
Tukifika klabu hawa mamanzi wanagwaya
Liquidi ni moto tunakunywa konki faya
Chorus
Gimme di bounce Ongeza Tempo
Hii ni ya machali wa nairobi na warembo
Hii ni ya machali wa kampala na warembo
Inua mikono na chupa mbili za tembo
Kuzina
Kuzina
Nawe