MoroBuzz - Kora Hill.wav歌词由Umoja Sounds&Fredrick Mulla演唱,出自专辑《MoroBuzz - Kora Hill》,下面是《MoroBuzz - Kora Hill.wav》完整版歌词!
MoroBuzz - Kora Hill.wav歌词完整版
Mjini mipango ukishindwa rudi ocha
Kila step unapiga bro you better watch out
Kila chimbo kabla hujaingia you better watch out
Yasije yakakukuta ya Nguza na Papii Kocha
Chunga marafiki wasije wakakuchocha
Nani real nani kaboka
Inabidi ujue kabla hujatoboka
Inner peace vipi wanaweza offer?
Leo nimepiga moka
Punguza mbwembwe usiniguse nikaangusha smocha
Smochapahi fam, utanilipa hata kama we fam
Angalia steps zako usije ukaniBlame
Ilishapangwa kuwa hivi toka nikiwa sperm
Ndoto zangu zitatimia kila nikilaza stems
Kwa kila stem nawapa ladha nawapa gem
Huku nikijihesabu (weka sound ya pesa) you know my name
Dollar dollar bills yo
Kutoka kwenye daladala bills yo
Mpaka kundika hii verse above the clouds sio easy yo
Nikikaa kimya niko busy sija sizi yo