War歌词由NIC&Felix Mumo演唱,出自专辑《War》,下面是《War》完整版歌词!
War歌词完整版
NIC mi nikona hope
Yaani ntapata job
Yaani stahustle tena
Yaani mi sitapatana na cops
Hata wakinisanyia
Bado mi ntabaki tu dope
Hope inanisaidia
Kupanda panda hii slope
Cheki Brenny mi sina mapeni
Mi natry joh kusell
Honey ili nimake money
Don't lose hope sonny
Alinishow my mommy
Nikiget ganji lazima
Nigrow tummy
Boss we enda kazi
Wacha mi nitafute kazi
Wacha mi niende
Uko nione joh itakuaje
Nifike mahala mi
Nataka kufika basi
Nitachoma my malazi
Mi niingie hii vita basi
Aki mi nitakuwa jambazi
Dingo kusanya mbuzi
Boss kanifuta kazi
Juzi nkalost nafasi
Hii ni war si upuzi
Ntakuwa konda wa basi
Zimebeat mavazi
So wananiita chizi
War
Life is bringing us war
We try to control our luck
But in the end life just brings us war
It's bringing us war
War
Life is bringing us war
War
We try to control our luck
But in the end life just brings us war
It's bringing us war
War
Life is bringing us war
War
We try to control our luck
But in the end life
Just brings us war
It's telling us this
Ewe mwenzangu
Ewe mwenzangu
Wataka nini mwenzangu
Wanitakia nini mwenzangu
Utaumia mwenzangu
Utaumia yeah yeah
Ukijifanya mwerevu
Ukijifanya mwere
Ewe mwenzangu
Ewe mwenzangu
Wanitaftia nini mwenzangu
Wanitaftia nini mwenzangu
Utaumia mwenzangu
Utaumia yeah yeah
Ukijifanya mjua
Ukijifanya mjua
Whatever
Ewe mwenzangu
Ewe mwenzangu
Wanitaftia nini mwenzangu
Wanitaftia nini mwenzangu
Nitakuumiza mwenzangu
Nitakuumiza yeah yeah
Ukijifanya mwerevu
Ukijifanya vyevye
Ewe mwenzangu
We we we
Ewe mwenzangu
Wanitaftia nini mwenzangu
Wanitaftia nini wewe
Nitakuumiza mwenzangu
Nitakuumiza wewe we!
Ukijifanya mjua
Mmh