Pozi歌词由Boshoo演唱,出自专辑《Pozi》,下面是《Pozi》完整版歌词!
Pozi歌词完整版
Verse 1
Cheki na Pozi Oya Bitozi..Edit ile Picha Upost...
Na Hilo Body ulivyojikoki..Si watafikiri ni Boss...
Mtoto Mkali Hata Hukosi..Picha Itakupa Msosi..
Chagua wewe unataka Ipi? Pisi Gigy au Posh ??...
Bongo mpaka kwa Madiba ,Tunakula Pozi Tunashiba ..
HAlafu Barida,Kajala Flani Frida ...
Pozi Kwenye Range Jeuri ya Chinga...
Vipi Simba? Pozi na Zuh Tayari ila Bado Mimba...
Bado Kinda,Mi Ndo Bingwa,..
Cheki Pozi Ruto na Odinga ...
Siku hizi kuna Filter nyingi hakuna haja tena ya Kupaka Powder..
Saloon kuna Taa za Ring baada ya make up au Kunyoa Unajipoza..
Kumbukumbu ndo Msingi umeshaskia wapi Picha Inaoza..
Unapiga Picha Nyingiii ila Picha Kali Unapata Moja
Chorus
Mbona Hujaweka Pozi ,
Mbona Hujaweka Pozi ..
Mbona Hujaweka mbona ,
Mbona Hujaweka mbona
Mbona Hujaweka mbona
Mbona Hujaweka Poziii ...........X2
Verse 2
Kuna Mapozi mengi ya Utata ...
Si Unawajua Mademu wa Tabata...
Wanapenda Bata wanapenda Picha..
Kuliko Kula 鈥menipata ??
Hata Magang Gang na Mapozi...
Masister Duuh wapo Kichokozi..
Na sio Utani Hata Msibani..
Tunapiga Picha na Majonzi..
Sio Facebook Sio Insta ...
Sio Tik Tok sio Twitter...
Weka Pozi Upate Picha...
Jibinue tu my Sister...
Siku hizi kuna Filter nyingi hakuna haja tena ya Kupaka Powder..
Saloon kuna Taa za Ring baada ya make up au Kunyoa Unajipoza..
Kumbukumbu ndo Msingi umshasikiai wapi Picha Inaoza..
Unapiga Picha Nyingi ila Picha Kali Unapata Moja
Mbona Hujaweka Pozi ,
Mbona Hujaweka Pozi ..
Mbona Hujaweka mbona ,
Mbona Hujaweka mbona
Mbona Hujaweka mbona
Mbona Hujaweka Poziii ...........X2
Pozi Picha
Pozi Picha X 4
Mbona Hujaweka Pozi ,
Mbona Hujaweka Pozi X2