Basi歌词由Sollo Brown演唱,出自专辑《Basi》,下面是《Basi》完整版歌词!
Basi歌词完整版
Oooooh wooh uuooh
Oh Oh
Ooooooohhh wooh uoooh, Yeah
Najua pesa ndo kila kitu
Ukaona mapenzi si kitu
Cha mtu huliwa na mtu
Na chuma huliwa na kutu
Eti moyo wangu mdhaifu
Kwa uliosema ningeumia
But I was so faithful
Kila neno nilichunia
Au ulifkiri kwamba unanikomoa
Moyoni kunitoa penzi ukabomoa
Au ulidhani kuwa umenishushua
Moyo umeshaufua ukanyauka na jua
Au ulifkiri kwamba unanikomoa
Moyoni kunitoa penzi ukabomoa
Au ulidhani kuwa umenishushua
Moyo umeshaufua ukanyauka na jua
Moyo wangu karatasi
Nafsi please punguza kasi
Kumbe jina langu hukuandika kwa wino
Ni penseli na ukafuta nkawa simo
Eti moyo wangu mdhaifu
Kwa uliosema ningeumia
But I was so faithful
kila neno nilichunia
Au ulifkiri kwamba unanikomoa
Moyoni kunitoa penzi ukabomoa
Au ulidhani kuwa umenishushua
Moyo umeshaufua ukanyauka na jua
Au ulifkiri kwamba umenikomoa
Moyoni kunitoa penzi ukabomoa
Au ulidhani kuwa umenishushua
Moyo umeshaufua ukanyauka na jua
Ooh ooooooh wooh yeaah
Oooooh yeah yeah
Ah
Siwezi ficha machozi yanayotiririka
Mimi nywele wewe kinyozi
Siwezi ficha machozi yanayotiririka
Mimi nywele wewe kinyozi
Umenitoa kibanzi
Kukicha uchokozi
Sina mtetezi
Hakimu mwenyezi
Umenitoa kibanzi
Kukicha uchokozi
Sina mtetezi
Hakimu mwenyeziii
Au ulifkiri kwamba unanikomoa
Moyoni kunitoa penzi ukabomoa
Au ulidhani kuwa umenishushua
Moyo umeshaufua ukanyauka na jua
Au ulifkiri kwamba unanikomoa
Moyoni kunitoa penzi ukabomoa
Au ulidhani kuwa umenishushua
Moyo umeshaufua ukanyauka na jua
Oooooohhh uuooh
Tell me I wanna know
Tell me I wanna know
Tell me I wanna know
Tell me I wanna know
Tell me I wanna know
Tell me I wanna knoooow
Sollo Brooowwn
Darkie!