Dunia歌词由Ukweli&Kasha演唱,出自专辑《Dunia》,下面是《Dunia》完整版歌词!
Dunia歌词完整版
Ujana maji ya moto na huyawezi kuyapasha
Utatafuta maana, tena sana
Lakini akili haitawacha kukuwasha
Hakuna anayejua cha kufanya, usidanganywe
Sote twajaribu kuyajaza haya mianya
Oye maisha ni dakika
Leo tupo, kesho si hakika
Sema yote, piga picha
Leo tupo, kesho si hakika
Dunia barafu
Hatuna madau
Anza kuogelea
Vunja mifupa kama bado meno ipo
Usingoje siku za mwisho
Cheza ngoma, jamani imba wimbo
Usiogope hata siku za mwisho
Jamani maisha ni magumu
Maombi na saumu
Nataka tu kuelea
Oye maisha ni dakika
Leo tupo, kesho si hakika
Sema yote, piga picha
Leo tupo, kesho si hakika
Dunia barafu
Hatuna madau
Anza kuogelea