MoroBuzz - Mzumbe歌词由Fredrick Mulla&Umoja Sounds演唱,出自专辑《MoroBuzz - Mzumbe》,下面是《MoroBuzz - Mzumbe》完整版歌词!
MoroBuzz - Mzumbe歌词完整版
Punguza kelele ukiongea na mimi
Reduce noise mi naongea na God
Reduce Noise me naongea na mimi Maana its been a minute
Sijaongea baba so punguza feelings nitakucheki after five minutes
Reduce noise ka unataka tuskizane innit
Nikikwambia kitu fikisha usifanye remix
Miluzi mingi itampoteza mbwa apigwe pini
Reduce noise ikibidi ongea chini chini
uelekeo ni juu ila unazikwa chini
Sikuhizi siongei sana ni smoke ka natokea chini
Niko busy nikisaka hizo busy Toka Moshi hadi Mbalizi simulizi simalizi ah
Siweki chini busy Simu nyingi niko busy nipigie ukinikosa niko busy na
Punguza kelele ka unataka kuwa una breathe uuuuh
Wengi mnakelele ila ku reason bado please ya’ll
Mnahitaji saviour, Jesus
Wakati mi niko nakula caviar please basi
Mnaongea sana ila barrier ni kichwa
Mi nafanya nyie mnapiga picha
Na bado hamjifunzi kwenye picha
Afu mnataka feature
Maujuzi yako wazi kuna nyinyi kuna kichwa