Kama Kawaida歌词由Colossal Music&Umoja Sounds&Fredrick Mulla演唱,出自专辑《Colossal Music presents Umoja Sounds + Fredrick Mulla - Unexpected Glitch (Explicit)》,下面是《Kama Kawaida》完整版歌词!
Kama Kawaida歌词完整版
Verse1
Njaa niliyonayo huwezi ipima kwenye plate
Yako, kuhusu mimi ukatabiri what's next
Ka utabiri wako haunitambui as the best
Nakutabiria njaa from todays and the rest
Mana naona mnapishana na biashara
Mi ni Mgodi ukiniconvert ni mia mara
Niko zaidi ya tasnia nzima kwa mia mara
Mi ni capital ukinisoma come near mara
Flow zaidi ya waterfalls niagra
I'm super charged up ka nimesip ma Viagra
Mi Boogie man zaidi ya hawa Baba yaga's
Niko na spana ukiniambia Baba na kaza
Too good for this niko na mengi ya kushangaza
To good Dunia iko na mengi ya kuyashazam
Too good gunia niko na mengi ya kuyajaza
I'm too good maneno niko na namna ya kuyapaza
Eyo you know what we talking about here Fredrick Mulla
Get that Mulla Fredrick come on
Nonstop Flavor on this track goddammit
Verse2
Maji mengi niko sober
Too clean kuvuka border
Ulikua hunijui sa you know now
Uki lean I got you hold up
Ka nimeachiwa mikoba
Ya miiko ya rap kwenye order
Na ifuata kila inapo go by
Hata kama kichwa iko all dry
Nasoma napata madini
Nagonga mapini makini
Chini ya maji chini kwa chini
King wa rap ya bongo kama mi ni Collo version ya mimi
Kila ladha nafanya anthem
Napika vitu dope kwa studio tu ni mahanjam
Pass the mic niko na nguvu bado ya kurun some
Mbio nyingi from here mpaka Nai no angalau son