笨鸟先飞
我们一直在努力
2025-01-22 12:47 | 星期三

MIMI歌词-Dicazzi

MIMI歌词由Dicazzi演唱,出自专辑《MIMI》,下面是《MIMI》完整版歌词!

MIMI歌词

MIMI歌词完整版

Mwisho wa siku its Me VS Me Yaah

Wewe VS wee utakufa mwenyewe its Clear

Life ni Maumivu ya hisia maumivu yangu naeka kwenye bars no tears

Nipe hi nkupe hi pia

i nyingi kwanza cha kwanza na idea

Hi dear Mapenz na muziki kuchanganya ndo kitu i fear

Aaah

Rap star big dreams

Gangster Ryhmes na dig deep

Haters stlye zao big G

Leo nawazika kwa six feet

Nimeshavurugwa mizuka sifai

Grade ya wehu naji classify

Maisha mafupi wacha nifurai

Najikopa sana usione najidai

Pumzi uhai life i dont want to die

Forever Young never ask me Why

Usiniombee chuki uku unanchekea machoni

real eyes realize real lies

Aka Mshindi Aka Winner

Aka nyingi Aka bingwa

gingi wa vigingi

Jumlisha na Aka za ngwea zote Aka Mimi

Mziki Julieth mi ni Romeo

Stlyes ni kama mjapan kutoka Tokyo

Imagine hii ingekua na chorus nimpe O.B.O

second verse namuingiza O.V.O

Unyama unyade undava umwamba ubabe

Kuchana si dhambi

Ukongelea ushabiki ata Yesu alikua na fan base

Hii ni break down kwenye Internet internet

And it goes down when My G's connect G's connect

Ulimwengu wa werevu mi ndo intellectual intellectual

Oyaaa hit the vibe

未经允许不得转载 » 本文链接:http://www.benxiaoben.com/efe18VVA9BQlaUwENDg.html

相关推荐

  • Bad Choice歌词-Dicazzi

    Bad Choice歌词-Dicazzi

    Bad Choice歌词由Dicazzi演唱,出自专辑《Bad Choice》,下面是《Bad Choice》完整版歌词! Bad Choice歌词完整版 Kua nami bad choicetufe tuzikwe wote bad ch...

  • 错误的遇见歌词-曾凯

    错误的遇见歌词-曾凯

    错误的遇见歌词由曾凯演唱,出自专辑《错误的遇见》,下面是《错误的遇见》完整版歌词! 错误的遇见歌词完整版 作词:吴平凡作曲:吴平凡演唱:曾凯发行:尧君文...

  • 飘雪的季节更想你 (cover: 雨中百合)歌词-李路

    飘雪的季节更想你 (cover: 雨中百合)歌词-李路

    飘雪的季节更想你 (cover: 雨中百合)歌词由李路演唱,出自专辑《相思的夜》,下面是《飘雪的季节更想你 (cover: 雨中百合)》完整版歌词! 飘雪的季节更想你 (cov...

  • 你是我最美的相遇歌词-李志和

    你是我最美的相遇歌词-李志和

    你是我最美的相遇歌词由李志和演唱,出自专辑《你是我最美的相遇》,下面是《你是我最美的相遇》完整版歌词! 你是我最美的相遇歌词完整版 你是我最美的相遇作词...

  • 追光者 (cover: 妖蝠)歌词-小王

    追光者 (cover: 妖蝠)歌词-小王

    追光者 (cover: 妖蝠)歌词由小王演唱,出自专辑《追光者》,下面是《追光者 (cover: 妖蝠)》完整版歌词! 追光者 (cover: 妖蝠)歌词完整版 追光者-妖蝠(SAMA)词:...