Wapi (Explicit)歌词由Drimo Papi&Baddest 47演唱,出自专辑《Bongo Pop Vol.1 (Explicit)》,下面是《Wapi (Explicit)》完整版歌词!
Wapi (Explicit)歌词完整版
Bad boy but me i'm not criminal
Nakula nyama Ila me sio cannibal
I make you vibe maximum sio minimal
All I do all ma shit hit international
Lemme give you introduction naitwa papito toka a town miliman
I'm d King of seduction yeah i'm super fine all ma drip is original
Wahuni wahuni
Mko wapi watoto WA town
Wapi tunakula IO mitungi
Wapi tunabamba izo gauni
Yeeehh
Wahuni wahuni
Mko wapi watoto WA town
Wapi tunakula IO mitungi
Wapi tunabamba izo gauni
Its okay
Tushaikusanya mitonyo
Tulichowafanya NI konyo
Mkutano NI masaki NA bonyokwa
Upo titi upo nyonyo
Kwa style hii
Mali itaisha bila daftarii
Life linachange boy usikariri
Usitabiri
Jembe langu la kulima tu me sipalilii
Ouuh my gosh
Chop ma goddamn cash
Coz you got sweet nyash
Less go to lubumbash
Wahuni wahuni
Mko wapi watoto WA town
Wapi tunakula IO mitungi
Wapi tunabamba izo gauni
Yeeehh
Wahuni wahuni
Mko wapi watoto WA town
Wapi tunakula IO mitungi
Wapi tunabamba izo gauni