笨鸟先飞
我们一直在努力
2025-01-25 22:42 | 星期六

Ameniwahi歌词-Mwasiti&Dogo Janja

Ameniwahi歌词由Mwasiti&Dogo Janja演唱,出自专辑《The Black Butterfly》,下面是《Ameniwahi》完整版歌词!

Ameniwahi歌词

Ameniwahi歌词完整版

Yako Sweet (Sweet)

Yahitaji akili kuingia,unaweza

ukajali (eeeh)

Knock out yakakutoa

Nikwambie maua rose na card

Si ishara ya mapendo

Wangapi wakatendwa *2

nasema figa moja haliivifishi mboga

Wengine utumia nguvu mpaka Kuroga

Mwenzangu namie ukashindwa kungoja

Naona bado ngoma ngumu, ngoma ngumu eeh

niliyesema wa maisha

ameniwahi,niwahi,niwahi

kutoka tena ghafla!!

ameniwahi,niwahi,niwahi

kutoka Eti yule wa maisha

ameniwahi,niwahi,niwahi

kutoka tena ghafla!!!

ameniwahi,niwahi,niwahi

kutoka

unajua ugali kwa dagaa

Unaenda (Eeh yeah)

na ndo maana mimi na wewe

tukafanana (Ooh ooh)

Ili tuishi safi wewe na nawana

now I hate the road when I

remember you

Japo mwanzo nilisema i do

Ukabadili namba kuwa jina

toka chini ukajikuta juu

未经允许不得转载 » 本文链接:http://www.benxiaoben.com/efe3eVVA9BQ5bUQcN.html

相关推荐

  • Shika歌词-Mwasiti&Baba Levo

    Shika歌词-Mwasiti&Baba Levo

    Shika歌词由Mwasiti&Baba Levo演唱,出自专辑《The Black Butterfly》,下面是《Shika》完整版歌词! Shika歌词完整版 Amenishikakanishishishikammh eeh eehVER...

  • Sudah Tak Sudi歌词-Wulandary

    Sudah Tak Sudi歌词-Wulandary

    Sudah Tak Sudi歌词由Wulandary演唱,出自专辑《Sudah Tak Sudi》,下面是《Sudah Tak Sudi》完整版歌词! Sudah Tak Sudi歌词完整版 Sudah Tak Sudi - Wulandar...

  • 机器铃 砍菜刀 (cover: 张卫) (Live)歌词-AkA空伐

    机器铃 砍菜刀 (cover: 张卫) (Live)歌词-AkA空伐

    机器铃 砍菜刀 (cover: 张卫) (Live)歌词由AkA空伐演唱,出自专辑《文艺复兴艺术》,下面是《机器铃 砍菜刀 (cover: 张卫) (Live)》完整版歌词! 机器铃 砍菜刀 ...

  • Kau Datang Setelah Menyakiti歌词-Yelse

    Kau Datang Setelah Menyakiti歌词-Yelse

    Kau Datang Setelah Menyakiti歌词由Yelse演唱,出自专辑《Kau Datang Setelah Menyakiti》,下面是《Kau Datang Setelah Menyakiti》完整版歌词! Kau Datang S...