MoroBuzz Episode Three - Kwa Mkomola歌词由Fredrick Mulla&Umoja Sounds演唱,出自专辑《MoroBuzz - Kwa Mkomola》,下面是《MoroBuzz Episode Three - Kwa Mkomola》完整版歌词!
MoroBuzz Episode Three - Kwa Mkomola歌词完整版
Hawakutuamini lakini Jehov did
Namuogopa Mungu si nyinyi sio Covid
Na hii ni kwa wote wanaotaka ku compete
Ukimtoa Chidi mi ndo chuma ndani ya concrete
Nipo kwenye mission bado sijacomplete
Asante Baba for this life naapa fomu fiti
Wanangu wote mi nawapa fomu fiti
Keep distance or Kipchoge naperform fit
Fomu ni gani fomu ni gani
Nakotoka kuna Buzwagi shingoni vidani
Kila nikidrop gold madini na off load
Makini hatua kila siku tuko vitani
Fomu ni gani fomu ni gani
Mulla sikuhizi umesanda yeah im making some money
Hata thamani imepanda sio kama zamani
Sikutereza na ganda nilichora ramani
Sikuhizi mademu juu ya kitanda nawachora na manii
Namaanisha nawachora na money
Pesa ndio currency ya kutoka sio kiki
Na ukitumia pesa usipotoka sihusiki
Tumia akili wewe
Biashara haikui kwa siku mbili wewe
Pombe, sigara, mademu sio Nvirii wewe
Itakua ngumu kutusua hiyo ndo siri wewe