Raha歌词由HSKE&Mayonde&Muthoni Drummer Queen&Polaris Pauline&Muthoni Ndonga演唱,出自专辑《Raha》,下面是《Raha》完整版歌词!
Raha歌词完整版
RAHA
(Muthoni)
Izi ndio siku tuliota
Zile siku tuliomba
Zile tulisema siku moja
Zile siku tulingoja
Zile vitu tumeona
Siku ngapi tumeoshwa
Mara ngapi tumegongwa
Mara ngapi hatukuonwa ah
Its over now
Zote tume overcome
Blessings zina over-run
Baraka zinakam kukwom
Unataka ni doo?
Unataka ni doo?
Na do kile na doo
Doo kile utado
Raha raha raha
Maisha ni raha
Raha raha raha
Maisha ni raha
(Mayonde)
Unataka ni do?
Im in the groove
Back in the scene
Im making the move
Been on the low now living good
Leveling up forever mood
Izo siku tulisota
Izo days back when tukiota
Ona vile Sir God amedo
Ona vile Jah amecome through
Lets go lets go lets go
Twende kazi bro
Twende kazi yo
Lets go lets go lets go
No stopping us you already know
Lets go lets go lets go (lets go)
Lets go (Lets go)
Lets go (Lets go)
Lets go lets go lets go (Twende)
Lets go (Twende)
Lets go (Twende)
Raha raha raha
Maisha ni raha
Raha raha raha
Maisha ni raha
(Polaris)
Siku hizi na songa songa
Jina yangu naiona ona
Na kwa jina la baba baba
Nitazidi kuchokoza koza
I mean
Nimezoea life kunichwado something
Machozi ikikam ni chaser ya dry gin
Kwani sisi tutangoja mpaka lini
Na deni yangu first naokota saa hii
What it is what it is what it is
Nimekam na kikosi
Tu excuse tafadhali
Yanayopita hayatoshi
What it is what it is what it is
Nimekam na kikosi
Tu excuse tafadhali
Yanayopita hayatoshi
Raha raha raha
Maisha ni raha
Raha raha raha
Maisha ni raha