MoroBuzz - Kilakala歌词由Fredrick Mulla&Umoja Sounds演唱,出自专辑《MoroBuzz - Kilakala》,下面是《MoroBuzz - Kilakala》完整版歌词!
MoroBuzz - Kilakala歌词完整版
Im not sure ka Dunia iko ready for me
Nilikuja asubuhi hamkua ready for this
Na breathe rap kila minute im dependending on this
Basquiat master piece hii ni untittled rizz
If you know you know
Ni busara kukubali if you know you’ve lost
Ego inapandisha price itaku cost
Hivyo ndo utakua suprised me nakushow
Na ukivuka mipaka buda mi nakublock
Ushinde ukiambia wana vile Mulla ni mnoko
Unoko umenitoa Local
We haufanyi locomotion ndomana umebakia alosto
Mi nawenda na clock
Nitupe kwenye bwawa la kenge nitatoka croco
Kazi zinanitaka Kitambo nishatoka Soko
Nimechagua kuwa special mitumba kaifuate Krokoni
Ama Gikomba hesabu zangu ni so strong
Naona vingi bila Bonta
Naona Wasanii wakishafeli kuwa popstars
Wanaitafuta fame kwa Kuwa pornstars
Asante Dada Mange kwa Kuwa sponsor
Im not sure ka hii ni kali au ni goroka
Im not sure niache dreads nipige low cut
Au nishushe vitu bila idadi kama Locust
Nzige wamalize Kila kitu braggadocious