You & Me歌词由Erikanza blessing演唱,出自专辑《You & Me》,下面是《You & Me》完整版歌词!
You & Me歌词完整版
You and me, Mimi nawewe
Mpaka mwisho tuwe pamoja
"Mmhh"
Sioni sisikii ,nawala hujaniroga
Ila unavyonipa ndanii
"Mmhh"
Dada nakupenda vile ulivyoo
Nigande mwanzo mwisho
Kama ulimbo
Nyama tamu tamu kuku kishingo
Unaweza kupambana ulingoni
I'm addicting your love
You complicate ma head
Your the one makes me happy
And when we're together
They complimenting were great
Your the one makes me shining
Nahisi umenipa juju
Kwako mi kama zuzu
Siongei kabisa bubu
Mpole Hauna gubu
Hauna kidonda ndugu
Unafuta machungu
Tuwape pole
Wale mapenzi yanawatesa
Kwani wanajipanga foleni
"mmh yeeh"
But god creating
And our love is a blessing
Feelings are plenty
"yeeeh"
Dada nakupenda vile ulivyoo
Nigande mwanzo
Mwisho kama ulimbo
Nyama tamu tamu kuku kishingo
Unaweza kupambana ulingoni
I'm addicting your love
You complicate ma head
Your the one makes me happy
And when we're together
They complimenting were great
Your the one makes me shining
Nahisi umenipa juju
Kwako mi kama zuzu
Nahisi umenipa juju
Kwako mi kama zuzu