Nivumilie歌词由alask simba演唱,出自专辑《Nivumilie》,下面是《Nivumilie》完整版歌词!
Nivumilie歌词完整版
Najuwa maisha nimagumu kwa sasa
Ewe wangu basi tulizana tutapata
Endeleya tu kunihusudu ee mama
Mafanikio mda utafika tutashangaa
You know I'm so proud of you
My girl my girl
Nitazame tuwaache waju nitawa call
My loveif you love
Believe I love you
My girl I need you
My love husilieeeee
Nivumilieeeeeeee
Ah ah ah ah Nivumilie
Husilieeeeee
Ah ah ah ah husilie
Nivumilieeeeeeee
Ah ah ah ah Nivumilie
Husilieeeeee
Ah ah ah ah husilieeee
Sio kwamba napenda
Moyoni naumia
Usipokuwa na furaha
Kichwani naumia
Kutembea kutwa peku
Mara na mlaumu mungu
Si ya kwetu pekee magugu
Twendelee kumungu
Najuwa nimepata mke bora wangu wa Maishamy baby ebu tulizana tutapata
My love if you love
Believe I love you
My girl I need you
My love husilieeeee
Nivumilieeeeeeee
Ah ah ah ah Nivumilie
Husilieeeeee
Ah ah ah ah husilie
Nivumilieeeeeeee
Ah ah ah ah Nivumilie
Husilieeeeee
Ah ah ah ah husilieeee