Master Manondo歌词由Fredrick Mulla&Umoja Sounds&Owuor Arunga演唱,出自专辑《Master Manondo》,下面是《Master Manondo》完整版歌词!
Master Manondo歌词完整版
Intro
Well well well!
Heh eh eh eh
Eh eh eh eh
Eh eh eh eh
Well well well!
Eh eh eh eh
Eheh Ahah
Chorus
(Incantation)
Yeah!
Toka nduki ukiniona mi ni, ‘yeah!’
(Incantation)
Yeah Komando Yoso aah!
(Incantation)
Ah Master Manondo yeah!
(Incantation)
Gusa unaswe au kausha cause you don't know
Yeah!
Verse 1
Nabii hakubaliki kwao so the best move ni kumove out
Na ku-do ‘wow’ kwa other side
Popote ambapo riziki inani-move
Nafanya major moves and I'm doing it right
Exposure inafanya nitake zaidi ya aah!
Kuchukua Grammy na kujenga media
Golden city houses
Ni ngumu kunielewa ka huna ndoto
Ya nini kuwa midi mi nataka kuwa fiti kila angle yeah!
Am’a make sure kila dili ikinigusa naibend off ah!
Sitaki tu kuwa mwanamuziki nataka kuwa mfanya biashara pia uh!
Na hiyo ndo tofauti kati yangu na wenye ndoto random
Pre - Hook
Incantation
Incantation
Incantation
Incantation
Incantation
Incantation
Incantation
Incantation
Chorus
(Incantation)
Yeah!
Toka nduki ukiniona mi ni
(Incantation)
Eh Komando Yoso aah!
(Incantation)
Ah Master Manondo yeah!
(Incantation)
Gusa unaswe au kausha cause you don't know
Yeah! Ah! Look!
Verse 2
Picha uliyonayo kuhusu mimi
Hainihusu kama haiongelei kuwini
Hainihusu kama haiongelei madini
Maana nimekua nikidrop gems kwa miaka toka 2030
Niko mbele mbele mbele mbele
Wakiuliza nani mkali, “ wait a minute!”
Wambie ni pesa hesabu kila digits
Saa zingine lab na Mandugu Digi
Ya nini kuwa midi mi nataka kuwa fiti kila angle yoh!
Am’a make sure kila dili ikinigusa naibend off ah!
Sitaki tu kuwa mwanamuziki nataka kuwa mfanya biashara pia huh!
Na hiyo ndo tofauti kati yangu na wenye ndoto random
Chorus
(Incantation)
Yeah!
Toka nduki ukiniona mi ni..
(Incantation)
Yeah Komando Yoso aah!
(Incantation)
Ah Master Manondo yeah!
(Incantation)
Gusa unaswe au kausha cause you don't know
Outro
Incantation
Incantation
Incantation
Incantation
Incantation
Incantation
Incantation
Incantation