STAY ON IT歌词由Salmin Swaggz演唱,出自专辑《STAY ON IT》,下面是《STAY ON IT》完整版歌词!
STAY ON IT歌词完整版
Stay on it
Ukiona nimepanda bei i'mma stay on it
Kama mchongo hauna pay i'mma stay on it
Ntasubiri another day i'mma stay on it yeah
Stay on it
Ila nnachotaka sema i'mma stay on it
Kama mchongo hauna pay i'mma stay on it
Ntasubiri another day i'mma stay on it yeeaah
Nataka kuona glass juu,
Weka mission sio unafanya basi tu,
Ladies wanapendelea what we do,
Sema suu amma take you back to school,
Wake up in the morning na nna ndoto kama saba,
Hawafikii malengo sababu wamekosa shabaha,
Wauni kwenye kutafuta dow wanakaba,
Nani atalisha madogo, mama, dada,
Najaribu kupata picha nimekaa nyuma kabisa, na hizi story zinatisha,
Wengine wako ndani kwa pesa ya kutakatisha,
ila siku tutafanikisha, maboya tutawakalisha, na bado tunahamasisha
I'mma stay on it
Ukiona nimepanda bei i'mma stay on it
Kama mchongo hauna pay i'mma stay on it
Ntasubiri another day i'mma stay on it yeah
Stay on it
Ila nnachotaka sema i'mma stay on it
Kama mchongo hauna pay i'mma stay on it
Ntasubiri another day i'mma stay on it yeeaah
I stay on it kama popo yaani kinoko yani,
nacruise kwenye mkoko yani,
Mashavu tushayavuta kuja local man,
Ni full kijani na aliyesimama mmoko man, yeah
Tukikupita kwa jam usiulize,
Tulifanya wapate nidhamu kwa huu ubize,
Na sio hata lazima utuskiize,
Tunapokutoa lazima tusistize,
Washkaji niliowapaga nafasi,
Washatoboa tuko hapa tunagonga glass,
We never really talk about the class,
Kwa maana wasiotupenda watanuna mpaka basi
So I gotta stay on it
Stay on it
Ukiona nimepanda bei i'mma stay on it
Kama mchongo hauna pay i'mma stay on it
Ntasubiri another day i'mma stay on it yeah
Stay on it
Ila nnachotaka sema i'mma stay on it
Kama mchongo hauna pay i'mma stay on it
Ntasubiri another day i'mma stay on it yeeaah