Baba歌词由Chris Bahizi演唱,出自专辑《Asubuhi》,下面是《Baba》完整版歌词!
Baba歌词完整版
Neema yako yatosha
Na, ulinzi wako uko Sana
Na Utabeba nafsi yangu,
ile fasi ya yaku pona
Mkono juu ya maisha yangu
Nguvu za kutoka Mbingu
Unanipa utulivu
matunda ya roho, yote kwangu
Baba Baba, Baba
Baba Baba, Baba
Ba Baba, Baba
Baba Baba, Baba
Baba Baba, Baba
Ba Baba, Baba
Sadaka yako
Yashinda yote
Watoa yote ili nipate yote yeah
Neema na Fadhili,
Milele na Milele zitanifuata
Mkono ju ya maisha yangu
Nguvu za kutoka Mbingu
Ananipa utulivu
matunda ya roho, yote kwangu
Baba Baba, Baba
Baba Baba, Baba
Ba Baba, Baba
Baba Baba, Baba
Baba Baba, Baba
Ba Baba, Baba
Sadaka yako
yashinda yote
watoa yote ili nipate yote, Baba
Sadaka yako
yashinda yote
watoa yote ili nipate yote
uh Baba
Baba Baba, Baba
Baba Baba, Baba
Ba Baba, Baba
Baba Baba, Baba
Baba Baba, Baba
Ba Baba, Baba