笨鸟先飞
我们一直在努力
2025-01-23 20:28 | 星期四

Mtegemee Yesu歌词-Ambassadors Of Christ Choir

Mtegemee Yesu歌词由Ambassadors Of Christ Choir演唱,出自专辑《Tuli Bapya》,下面是《Mtegemee Yesu》完整版歌词!

Mtegemee Yesu歌词

Mtegemee Yesu歌词完整版

Mtegemee Yesu - Ambassadors Of Christ Choir

Mambo mengi yakupata ndugu yanayokuumiza moyo

Hata ukimwomba Mungu waona

Kama vile amekutenga

Maisha magumu shida tupu

Wapepeshwa dunia nzima

Unapapasa hapa na pale

Bila kupata msaada

Umeanza kukata tamaa imani yako inayumbayumba

Unajisikia upweke umeachwa kama yatima

Utokako ni mbali sana kiasi kwamba huwezi rudi

Mbele huenda kunako giza umekosa matumaini

Magumu shida yakupatayo ndugu ni ya muda kidogo

Kamwe yasikutenganishe na yule rafiki wa kweli

Hebu itegemee ahadi yake kwamba atakuwa nawe

Hata kwenye wakati huo mgumu mtegemee Yesu

Umesongwa nazo shida nyingi lakini mkumbuke Ayubu

Alivyozidiwa nayo majaribu akasimama imara

Japo yako imefanywa wimbo nao waumini wenzako

Sawa na wale marafiki za Ayubu walivyomcheka

Usiiruhusu shida yako kukunyakua mkononi mwa bwana

Jibu lako ni yeye pekee tegemeo na kimbilio

Hata wenzako wakutenge vumilia utayashinda ndugu

Jipe moyo mtetezi yupo magumu atarahisisha

Magumu shida yakupatayo ndugu ni ya muda kidogo

Kamwe yasikutenganishe na yule rafiki wa kweli

Hebu itegemee ahadi yake kwamba atakuwa nawe

Hata kwenye wakati huo mgumu mtegemee Yesu

Magumu shida yakupatayo ndugu ni ya muda kidogo

Kamwe yasikutenganishe na yule rafiki wa kweli

Hebu itegemee ahadi yake kwamba atakuwa nawe

Hata kwenye wakati huo mgumu mtegemee Yesu

Umeanza kukata tamaa imani yako inayumbayumba

Unajisikia upweke umeachwa kama yatima

Utokako ni mbali sana kiasi kwamba huwezi rudi

Mbele huenda kunako giza umekosa matumaini

Usiiruhusu shida yako kukunyakua mkononi mwa bwana

Jibu lako ni yeye pekee tegemeo na kimbilio

Hata wenzako wakutenge vumilia utayashinda ndugu

Jipe moyo mtetezi yupo magumu atarahisisha

Magumu shida yakupatayo ndugu ni ya muda kidogo

Kamwe yasikutenganishe na yule rafiki wa kweli

Hebu itegemee ahadi yake kwamba atakuwa nawe

Hata kwenye wakati huo mgumu mtegemee Yesu

Magumu shida yakupatayo ndugu ni ya muda kidogo

Kamwe yasikutenganishe na yule rafiki wa kweli

Hebu itegemee ahadi yake kwamba atakuwa nawe

Hata kwenye wakati huo mgumu mtegemee Yesu

未经允许不得转载 » 本文链接:http://www.benxiaoben.com/eff2aVVA9AQ9VUQEN.html

相关推荐

  • Ni Kwa Nini歌词-Ambassadors Of Christ Choir

    Ni Kwa Nini歌词-Ambassadors Of Christ Choir

    Ni Kwa Nini歌词由Ambassadors Of Christ Choir演唱,出自专辑《Yatupasa Kushukuru》,下面是《Ni Kwa Nini》完整版歌词! Ni Kwa Nini歌词完整版 Ni Kwa Nini?...

  • Te Dizer歌词-Tagua Tagua

    Te Dizer歌词-Tagua Tagua

    Te Dizer歌词由Tagua Tagua演唱,出自专辑《Tanto》,下面是《Te Dizer》完整版歌词! Te Dizer歌词完整版 MergulheiNos teus sentidosNos teus caminhos Me lan...

  • Me Leva歌词-Tagua Tagua

    Me Leva歌词-Tagua Tagua

    Me Leva歌词由Tagua Tagua演唱,出自专辑《Tanto》,下面是《Me Leva》完整版歌词! Me Leva歌词完整版 Vem me leva daquiQue eu j cansei desse lugar Vem, me ...

  • stay side (Feat. )歌词-Chestwoney&

    stay side (Feat. )歌词-Chestwoney&

    stay side (Feat. )歌词由Chestwoney&演唱,出自专辑《stay side (Feat. )》,下面是《stay side (Feat. )》完整版歌词! stay side (Feat. )歌词完整版 매일 밤...

  • Brisa歌词-Tagua Tagua

    Brisa歌词-Tagua Tagua

    Brisa歌词由Tagua Tagua演唱,出自专辑《Tanto》,下面是《Brisa》完整版歌词! Brisa歌词完整版 Encantei na tua levada Desvendei o teu azul Fiz de ti minha...