MWAMINIFU歌词由OMBEVA ATO演唱,出自专辑《MWAMINIFU》,下面是《MWAMINIFU》完整版歌词!
MWAMINIFU歌词完整版
[TITLE
[solo
Asante
Asante
Asante
Asante
Umekuwa Mwaminifu, Bwana
Umekuwa Mwaminifu, Bwana
Unaweza
Unaweza
Unaweza
Unaweza
Umekuwa Mwenye Nguvu, Bwana
Umekuwa Mwenye Nguvu, Bwana
[chorus
Ni haja ya moyo wangu, kukuabudu
Ni haja ya moyo wangu, kukuinua
Ni haja ya moyo wangu, kukutukuza
Umekuwa Mwaminifu, Bwana
Umekuwa Mwaminifu, Bwana
[all vocals
Asante
Asante
Asante
Asante
Umekuwa Mwaminifu, Bwana
Umekuwa Mwaminifu, Bwana
Unaweza
Unaweza
Unaweza
Unaweza
Umekuwa mwenye nguvu, Bwana
Umekuwa mwenye nguvu, Bwana
[bridge
Tunakusifu Bwana, kwa matendo Yako
Twakuabudu pekee, wastahili
Tunakusifu Bwana, kwa matendo Yako
Twakuabudu pekee, wastahili
Twanyenyekea mbele zako, twaimba wimbo wa shukurani, ni wewe tu Bwana.
[chorus
Ni haja ya moyo wangu, kukuabudu
Ni haja ya moyo wangu, kukuinua
Ni haja ya moyo wangu, kukutukuza
Umekuwa Mwaminifu, Bwana
Umekuwa Mwaminifu, Bwana
Umekuwa Mwaminifu,
Bwana