Karibu Roho歌词由Goodluck Gozbert演唱,出自专辑《Kampeni》,下面是《Karibu Roho》完整版歌词!
Karibu Roho歌词完整版
Karibu Roho mtakatifu Tawala
Karibu roho Mtakatifu Tawala
Tuko hapa twakuita
Wewe Mungu Roho mtakatifu
Ndio Sasa tumekubali
Karibu Karibu Karibu
Ukatakase mioyo Yetu eeh Roho
Rudisha bubujiko Mioyoni
Tupe Kutambua Pendo La Mungu Eeh Roho
Karibu Ooh Tuko Tayari
Ooh Karibu
Karibu Roho mtakatifu Tawala
Karibu roho Mtakatifu Tawala
Vipawa Vyote Karama Zote
Tuko hapa Tukingoja,Hatuendi
Utujaze Ujasiri karibu Karibu Karibu
Palipo Vita Utujulishe Habari Mapema
Maana Siri zote Unazijua
Hakuna Kilochofichika Kwako Roho
Karibu Karibu Karibu We Roho
Karibu Roho mtakatifu Tawala
Karibu roho Mtakatifu Tawala
Tufundishe kuomba
Tufundishe Kutembea Katika Njia Sawa
Tuongoze Safarini,
Tujaze Nguvu zako
Wewe Rafiki na Msaada Wa Karibu
Tutakase Mioyo yetu, Tukumbushe Yale Yanayotupasa Kutenda
Wewe Mtendaji Mkuu Wa Mambo Ya Rohoni
Tujaze Nguvu zakoo,
Usituache Njiani
Tembea Nasi Roho Wa Mungu
Tembea Nasi Siku Zote
Gusa Maisha Yetu
Uwe Kila Kitu kwetu
Tamalaki mtakatifu, Tamalaki Mungu