Ulimwengu Ulivyo Sivyo Ulivyo !!!歌词由John Ambuli演唱,出自专辑《Golden Tunes !!! - Volume 7.0》,下面是《Ulimwengu Ulivyo Sivyo Ulivyo !!!》完整版歌词!
Ulimwengu Ulivyo Sivyo Ulivyo !!!歌词完整版
Yeye huwaona walimwengu walivyo machoni mwake akadhania ndivyo ulimwengu huu ulivyo
Hata yale anayo yasoma magazetini haamini kama ni wao ambao wanayatenda
Huwa anadhania kwamba wote ni wangwana namna wanavyo onekana wakiwa kazini
Huwa anadhania kwamba niwanadhifu rohoni mwao namna mavazi yao yalivyo nadhifu
Uliwengu ulivyo sivyo ulivyo
Waelimisheni wageni wanaokuja hapa ulimwenguni kwamba haya wanayoyaona siyo watakayo yapokea