Wakalale (Explicit)歌词由Goodluck Gozbert演唱,出自专辑《Kampeni》,下面是《Wakalale (Explicit)》完整版歌词!
Wakalale (Explicit)歌词完整版
Wacha Wakalale Wakishasema Wakalale,Wacha Wakalale alafu Mungu Atawale
Dunia,Dunia haina huruma,Machozi unalia unapoteza Bure
Hebu tazama wanaokusema Hawana kazi Unajitesa Bure
Ukitazama Maendeleo Yaao Umewazidi Mbali unajisumbua bure
Wewe subiri Subiri Jua Lizame Vinywa Vichoke,Usihangaike Nao
Chorus
Wacha Wakalale Wakishasema Wakalale,Wacha Wakalale alafu Mungu Atawale
Verse 2
Safina,Safina Ilipokamilika Waliiona na bado hawakuamini
Wewe ni nani Uwaaminishe haraka
Funga Kufuli Usishughulike nao
Ila Ukisikia Nuhu Tufungulie Ujue Sasa Amekwisha tenda
Wacha Wakalale wakishasema Wakalale Alafu Mungu Atawale
Mamlaka Uliyonayo ni makubwa kupita Yao,Sasa machozi ya Nini Komesha Komesha
Wale wanaokorofisha Kazini kwako aisee,Tuwape wiki Au mwezi Wataondoka Bwana
Usiwachezee waliokombolewa wana mihuri mihuri ya Mbingu
Wacha Tarantira Kusingizia Uongo Mungu Akishuka Tusilaumiane
Wacha Wakalale Wakishasema Wakalale,Wacha Wakalale alafu Mungu Atawale
Sema Mama Sema Maliza Kabisa SEMA,Sema mama sema Nitakaa kimyaa
Sema Baba Sema Chafua kabisa sema,Chafua sema Sema Nitakaa Kimya
Aaaah Eeeh Eeeeh Eeeh Eeeeh
Wacha Wakalale Wakishasema Wakalale,Wacha Wakalale alafu Mungu Atawale